SIKIA HII KUTOKA NIMR, WANAWAKE ASILIMIA 26.5 HUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Kati ya wanawake 905 waliohojiwa 166 wamekiri kushawishiwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile

utafiti umefanywa na mwanasayansi Irene Mremi kutoka taasisi ya Taifa ya Utafiti wa magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR)

Sampuli ya utafiti huo kutoka mikoa ya Dar es salaam hasa maeneo ya Kinondoni, Mkoa wa Tanga Makete na Siha ambapo walihusisha wasichana wenye umri wa miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamaii

Tanga ndio kumeonyesha kukitthiri kwa vitendo hivyo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete. Baadhi ya sababu ni imani potufu kwa wanaume pamoja na fikra ya kulinda bikra.

Source. Mwananchi News paper. Ijumaa April 5.2013


EmoticonEmoticon