BUNGE KUANZA KESHO MKOANI DODOMA



Kesho April 09 mbunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 litanza, ambapo litamalizika june 28. Ikiwa ni Bunge refu kuliko yote.

Hatahivyo, Waziri wa fedha Mhe. Willium Mgimwa amesema serikali imetenga kiasi cha Tirioni 17.7 Tsh., Kama bajeti ya mwaka wa fedha 2013/2014

Vipaumbele vya bajeti hiyo ikiwa ni Mawasiliano, Bandari,Afya, Elimu, Maji,Ujasiriamali na Kilimo. Asilimia 20 ya Bajeti ya Tanzania inategemea wafadhili huku kiasi kilicho baki kinategemea kipato cha ndani.


EmoticonEmoticon