Mbunge wa Kondoa Kusini Mhe. Juma
Nkamia hii leo ameshangaza jamii alipomuita Mbunge mwenzake Mhe.
Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini kuwa ni “MBWA” alipokuwa
akichangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi wa Waziri Mkuu inayoendelea hizi
sasa Bungeni
Bila hiyana Mhe. Nkamia alitamka neno
hilo zaidi ya mara moja kuwa Mhe. Mbilinyi ni Mbwa licha kuambiwa
kutofanya hivyo na Naibu spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
“Sugu naomba uwena eshima, mimi
sizungumzi na Mbwa nazungumza na Mwenye Mbwa” wkati mabishano
yakiendelea Mhe. David Machali aliingilia na kusema.... kwakuwa
umesema sugu ni mbwa inamaana spika ni Mbwa na wabunge nao ni Mbwa.”
“Nkamia naye Alijibu tena aliye toa
hoja sio makini kwani swezi kuongea na watu wasiokuwa makini, …
Spika aliingilia baada ya mjadla kuendelea sana hali inayoonyesha
upendeleo wa waziwazi alioufanya Spika...
“Nkamia baada ya kuambiwa aombe radhi
kwa kauli hiyo alisema.... Kilicho nifanya nikosema maneno hayo ni
maneno ya chini chini ya aka Sugu....akadai alicho maanisha ni Kuwa
anaongea na baba na sio mtoto nakuongeza kuwa nyimbo za Sugu
ataendelea kuzisikiliza”
MAHAKAMA YAKANA KUWANYIMA HAKI WANANCHI
Jaji mkuu Fredrick Werema amepinga
vikali swla la serikali kutumia mahakama kama chombo cha kuwapiga
wanyonge baada ya kujibu swali aliloulizwa na mbunge wa viti maalum
Magdalena Sakaya ambaye alitakja kujua kwanini serikali inafanya
hivyo huku akisema juu ya swala la mgomo na madai ya walimu
“Serikali nimhajiri kama waajiri
wengine swala la kwenda mahakamani ni lakisheria na sikweli kwamba
mahakama inatumiwa kuzuia haki za wanyonge alisema JAJI mkuu.
Hoja inayoendelea kujadiliwa hivi sasa
bungeni ni Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na wizara zote zilizopo
chini yake.
EmoticonEmoticon