KENYATTA AHAIDI NEEMA TELE KWA WAKENYA, AJISAFISHA KWA NCHI ZA KIMATAIFA, AWATAKA WAKENYA KUWA KITUKIMOJA


Akihutubia, mamia ya wananchi na viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye hafla ya kuapishwa kwake Rais wa Kenya Bwana Uhuru Kenyatta ameahidi neema tele kwa wakenya kama ahadi yake katika uongozi wake

Kenyatta amesema, atatoa LapTop 1 kwakila mwanafunzi wa darasa la kwanza, pamoja na neema nyingine kibao kama kuinua uchumi wa wakenya na kulinda usalama wa wananchi wake popote walipo Duniani pia nakurudisha utoaji wa maziwa kwa wanafunzi kituambacho kilifanywa kuanzia utawala wa baba yake mapaka miaka ya 1985.

Katika hotuba yake hiyo, Uhuru Kenyatta amejiosha sana kwa mataifa ya mbele kwa kauli yake yakuwa “Hakuna nchi au kundi la nchi yoyote linaloweza kutawala taasisi za kimataifa na ufafanuzi wa sheria na mikataba ya kimataifa” huku akisisitiza kueshimu na kulinda taratibu zao

“My govt will uphold our international obligations, President Uhuru”

Asisitiza juu ya kuwa kitukimoja, katiya wa kenya juu ya maswala ya uchaguzi na ukabila na udini kwani tayari kazi imeanza, huku akisisitiza kutomuacha mtu hata mmoja katika maendeleo ya taifa hilo



EmoticonEmoticon