JICHO PEVU: NA RIPOTI YA KIFO CHA WAZIRI WA ULINZI WA KENYA MAREHEMU GEORGE SAITOTI

RIPOTI hiyo iliyorushwa na kituo cha utangazaji cha KTN inaelezea jinsi maofisa wa Polisi na Viongozi wa juu wa nchi hiyo walivyo usika kwenye kifo cha aliye kuwa Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo George Saitoti na makamu wake Joshua Orwa Ojodeh.


 

George Saitoti na Joshua Orwa Ojodeh walipoteza maisha kwenye ajali ya Helikopta tarehe 10 June 2012. 


EmoticonEmoticon