"JOTO HASIRA”FOLENI BALAAA, NEW BAGAMOYO ROAD

LEO ASUBUHI 

Barabara ya New Bagamoyo hizi sasa foleni inatisha kiasi kwamba magari yanakua machache kwa kukaa muda mwingi kwenye foleni




Barabara hiyo inaendelea kujengwa hivi sasa na itamalizika hapo June mwaka huu licha ya kwamba bado eneo kubwa la barabara hiyo alijakamilika,

Maeneo ambayo foleni inatia hasira kiasi cha kutamani "NARUKA MWENYEWE- YELELA YELELA AAA"

Sijui lini tutasahau haya


EmoticonEmoticon