HABARI ZA KITAIFA HII LEO :



MALIASILI NA UTALII YAKANUSHA MADAI YA WAKAZI LOLIONDO, WIZARA ZA JINSIA NA MAENDELEO WAJA NA MPANGO WA KUZUIA UKATILI KWA WATOTO, CHAKUWA NAO WAJITOKEZA BAADA YA NAULI KUPANDA

HABARI KWA UFUPI

SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII HII LEO IMEKANUSHA MADAI YALIYOTOLEWA NA BAADHI YA WAKAZI WA LOLIONDO WILAYANI NGORONGORO, MKOANI ARUSHA KUUSU KUNYANG'ANYWA ENEO LA ARDHI ILIYOPO LOLIONDO

AKIONGEA NA WANA HABARI HII LEO, WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII BALOZI HAMIS KAGASHEKI AMETOA UFAFANUZI KUHUSU MGOGORO HUO NA KUSISITIZA KUWA ARDHI YOTE NCHINI TANZANIA NI MALI YA SERIKALI NA KUWAN INAMAMLAKA YA KUFANYIA MATUMIZI YEYOTE ITAKAYO ONA YANA FAA KWA TAIFA

HAPO AWALI BAADHI YA WAZEE WA KIMASAI KUTOKA LOLIONDO WALISEMA SERIKALI IMEWACHUKULIA ENEO KWA LENGO LA KUMPA MUWEKEZAJI HABARI AMBAYO IMEKUWA HOJA YA MJINI KUUSISNA NA MADAI YALIYOTOLEWA NA WANANCHI HAO.

**********

WIZARA YA JINSIA NA MAENDELEO YA WATOTO INATARAJIA KUZINDUA MPANGO WA KAZI WA KITAIFA WA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO, UTAKAOHISISHA WADAU MBALIMBALI WANAOSIMAMIA USTAWI WA WATOTO NCHINI

MPANGO HUO UTAKAO TEKELEZWA KWA KIPINDI CHA MAIKA 3 KUANZIA 2013 MPAKA 2016 UKIWA NA LENGO LA KUANDAA MAZINGIRA YA KISERA,SHERIA,MIKAKATRI NA MIONGOZO KUUSU UPATIKANAJI WA HAKI ZA WATOTO NA KUZUIA VITENDO VYA UKATILI DIDHI YA WATOTO

KWA MUDA MREFU SASA KUMEKUWA NA VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO VINAVYOENDELEA KUKIDHIRI HAPA NCHI VIKISABABISHWA NA MGOGORO WA KIFAMILIA, MKOA INAYOONGOZA KWA VITENDO HIVYO NI MBEYA NA MIKOA MINGINE IKIFUATA.

***************

CHAMA CHA KUTETEA CHA IBUKA IKIWA IMEBAKI SIKU MBILI TU NAULI KUPANDA BEI KAMA WALIVYO TANGAZA SUMATRA

WATAKA HAKI ZA ABIRIA ZIHESHIMIWE, WAKANUSHA KUUSUSHWA KATIKA MIPANGO YA KUPANDA KWA NAULI, WASISITIZA SERIKALI INUNUE MITAMBO YA MBALIMBALI KAMA CCTV CAMERA, CAR TRACK DEVICE SYSTEM, ILIKUHAKIKISHA HAKI NA USALAMA WA HABIRIA UNAZINGATIWA

ZIMEBAKI SIKU MBILI TU ILITANGAZO LILILO TOLEWA NA SUMATRA JUU YA KUPANDISHWA NAULI KUTEKELEZWA. WATANZANIA WAKIWA HOI BILA MSAADA WOWOTE " KWELI MASKINI ATAZIDI KUWA MASKINI NA TAJIRI ATAZIDISHIWA" .


EmoticonEmoticon