PICHA NNE ZIKIONYESHA MAZISHI, NA MAHALI WALIPO UWAWA WACHIMBAJI HUKO MOSHONO ARUSHA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihudhuria mazishi ya wachimba morum yaliyotokea tarehe 1 aprili huko Arusha na kuuwa watu zaidi ya 20

Picha mbili zikionyesha mahali tukio hilo lilipo tokea na kusababisha vifo vya wachimbaji hao, Waziri Mkuu na Viongozi wote wamkoa wa Arusha, kuanzia Wabunge madiwani na Vikosi vya usalama wa mkoa huo


EmoticonEmoticon