AMREF KUSOMESHA WAKUNGA 1000 NCHINI


Shirika la Tafiti na Dawa Afrika AMREF imezindua mpango wa Elimu ya kuwaendeleza wakunga kufikia hatua ya DIPLOMA (Nurse Midewife) kwania ya kuzuia vifo vya wajawazito nchini, mpango uliozinduliwa na Mkurugenzi wa AMREF nchini Tanzania Dr. Festus Ikalo.


Dr. Festus Ikali, Mkurugenzi wa AMREF Tanzania 

Dr. Ikalo amesema AMREF itatumia elimu ya masafa yani E-Learning kwa wakunga hao, ambao watapatiwa Computer ya kuwawezesha kupata elimu hiyo kwa njia ya mtandao haka kama  baadhi yao watakuwa mashuleni au watakao kuwa makazi.


Tutatoa Computer kwa kila mkunga iliaweze kusoma hata kama akiwa shuleni au kazini, E-Learning niyamasafa. Watapata kujua mbinu za kufanya hasa kwa wajawazito” Alisema



Jumla ya wakunga 1000 kote nchini watapewa Elimu hiyo. Hatahivyo, Hivi sasa nchini Tanzania wajawazito elfu 10 wanapewa huduma na manesi 2 wawili tu, haliambayo inachangia vifo vya wajawazito nchini.



EmoticonEmoticon