KUAMIA DIGITALI, WANANCHI WATAKIWA KUONDOA HOFU JUU YA MPANGO HUO
Watanzania watakiwa kuondokana na hofu
ya mabadiliko ya Teknologia ya analogia kwenda Digitalu ifikapo Taree
31. mwezi huu
Hayo yamesemwa na Mkuruigenzi Mkuu wa
mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA Prof. John Nkoma alipokuwa
akizungumza katika kongamano la kila mwaka la Annual Broadcaster
Meeting jijini Da es Salaam.
Aidha amesema watanzania watapata
kutazama Station Tano Bure bila malipo Ambazo ni ITV,EATV,TBC,STAR TV
pamoja na CHANEL TEN, kwa station zilizo baki mwananchi atatumia
Fedha kupitia king'amuzi chaeke ilikupata tarifa, kwa vituo vilivyo
baki ni vya Burudani.Alisema Prof. John Nkono
EmoticonEmoticon