TETESI ZA MAJI KUPANDA BEI ZA KANUSHWA
Licha
ya Wananchi wengi kulalamikia tozo za maji kwa hivi sasa, Mkurugenzi
mkuu wa DAWASCO Bw. Jackson Midala amekanusha kuwepo kwa hali hiyo na
kuelezea kuwa wananchi wamekuwa wakichanganya bei hizo kutokana na
matumizi yao
Bwana.Midala amesema
kwa mwezi uliopita kumekuwepo kwa matumizi makubwa ya maji kwa
Wananchi kutokana na hali ya hewa, kwani kiwango cha joto kimechangia
kiasi kukubwa cha matumizi ya maji kuwa juu na mita za wananchi
kusoma bei ya juu tofauti na miezi mingine ambayo hali ya hewa
niyabaridi
EmoticonEmoticon