KESI YA LULU
YAAMISHIWA MAHAKAMA KUU BAADA YA UPANDE WA JAMUHURI KUSOMA USHAHIDI
WAKE LEO
Kesi ya Kuua bila
Kukusudia inayomkabili Msanii wa Filamu, Elizabeth Michael maarufu
kama LULU, imehamishiwa katika Mahakama Kuu, NA Lulu amerudishwa tena
Maabusu. Lakini taree ya kusimamishwa katika mahaka kuu aikuweza
kutwaja.
Lulu anakabiliwa na
kesi ya Kuuwa bila kukusudia, Msanii mwenzake Mareemu Steven Kanumba,
ambaye alifariki April 7, 2012 nyumbani kwake Sinza jijini Dar es
Salaam,
Upande wa jamuhuri
leo, Ulisoma taarifa ya ushahidi wa Kesi hiyo, ambayo imechukuliwa
kwa watu 9, Akiwemo Seth Bosco mdogo wake mareemu Steven Kanumba,
Madaktari walio kuwepo kwenye uchunguzi wa mwili wa mareemu kanumba
ambao waliwakilisha familia ya Mareemu, mapolisi waliofanya
Upelelezi na walio andika maelezo ya awali ya Msanii LULU.
Katika Ushahidi huo,
Jamuhuri ilitoa vitibitisho ambavyo ni ramani ya eneo la tukio,
Ripoti ya kitaalamu ya uchunguzi wa kifo hicho, Ambayo imedhibitisha
Kanumba liuwawa na mtikisiko wa ubongo yani Brain Concution. Pamoja
na maelezo ya mshatakiwa yani LULU
Lulu alipopewa
nafasi yakujielezea iwapo ananeno la kuongezea iliviambatanishwe
kwenye ushahidi utakao tolewa katika mahakama Kuu., Lulu alisema Hana
la Kuongezea.
Hii imekuwa kinyume
na watu wengi walivyo sambaza kwenye mitandao ya Kijamii kuwa msanii
huyo ameachiwa kwa Dhamana.
EmoticonEmoticon