KENYA WAONGOZA KWA KUTAFUTA TAARIFA ZA UTOAJI MIMBA
Ripoti iliyotolewa na Google imesema kuwa wengi wa watu wa Kenya kwa muda wa mwaka huu 2012, wamekuwa wakitafuta kujua zaidi juu ya njia za kutoa mimba, ripoti hiyo imeandikwa hivi na gogle ( 'How to abort' is year's top internet search in Kenya- by GOOGLE )Habari hiyo iliyotolewa na Shirika la Mtandao wa Google, na kuchapishwa na mtandao wa gazeti la Daily Nation la nchini Kenya, ambapo imeelezea vitu ambavyo wakenya hao wanapenda kujua zaidi katika mtandao huo
Habari zinasema kuwa, swala la utoaji mimba katika chi hiyo ya Kenya nikinyume na sheria na aliiruusiwi kabisa, Lakini ripoti hiyo aikuelezea ni watu wa umrigani ndio upenda kujua juu ya swala hilo
Hataivyo hapa nchini Tanzania, Utoaji mimba ni kosa la jinai na halikubaliki
EmoticonEmoticon