HAPO POLISI WAKITEKELEZA MAUAJI YA DAVID MWANGOSI
****************************************************************************
STEVEN KANUMBA ALIYE KUWA MSANII WAMAIGIZO, BONGO MOVIE
STEVEN KANUMBA, alifariki gafla April 7.2012 nyumbani kwake Sinza jijini Dar es salaam na mazishi yake kuudhuriwa na watu zaidi ya elfu 30,000. Kifo cha msanii huyo kiliusishwa na msanii mwenzake LULU kwa kisa cha wivu wa mapenzi
Picha ikuonyesha jeneza la mareemu Kanumba na umati mkubwa wa watu wlioudhuria mazishi hayo Kinondoni
**************************************************************************
SHARO MILIONEA
MSANII wa maigizo ya vichekesho Sharo Milionea alifariki Nov. 27 2012 kwa ajali ya gari. Mareemu alikuwa akielekea mkoani Tanga na alipofika Muheza alipata ajali na kufariki papo hapo
Hao ni miongoni mwa watu walio make headline baada ya vifo vyao kutokea, kutokana na mapenzi na ushabiki mkubwa kwenye jamii ya watanzania.
Nimiongoni mwa vifo vilivyo jaza vichwa vya habari na magazeti nchini
|
EmoticonEmoticon