KIJANA WA MIAKA 20 ALIYEFANYA MAUAJI YA KUTISHA MAREKANI HUYU HAPA


 ADAM LANZA, kijana wa miaka 20 ambaye amefanya mauaji ya watu 26, wakiwemo wa toto 20 na walimu wao 6, ambao walikuwa wakijaribu kuwaokoa maisha ya watoto hao,tukio ambalo limetikisa historia ya Marekani kuwahi kutokea.

Kabla ya Adam kufanya mauaji katika shule ya Sandy Hook, alimuua mama yeke mzazai Nancy Lanza.


Wataalamu mbalimbali wa maswala ya silaha wameelezea tukio hilo kuwa ni sawa na mauaji ya kivita kutokana na silaha alizotumia na risasi alizo andaa kijana huyo.

Shule ambayo Adam amefanyia mauaji ni ambapo mama yake mzazi alikuwa nafundishia.

Mara baada ya kufanya mauaji hayo Adam alijiua na moja ya silaha alizokuwa nazo
hapa ni picha ya Adam Lanza akiwa na Mama yake Nacy Lanza
hizi ni silaha alizo tumia kijana Adam kufanya Mauaji

**

Mauaji hayo yamepelekea Rais wa Marekani, Barack Obama kutangaza kuwa Sheria za kumiliki silaha nchini Marekani zipitiwe upya ilikudhibiti matukio kama hayo kuweza kutokea.

Tarifa za Polisi Nchini humo zimetaja kuyatambua mauaji hayo kwajina la Adam Lanza


EmoticonEmoticon