TUJIPANGE wabongo pindi tunapo jenga nyumba, kuna majanga yasiyo zuilika kama moto.Nyumba zetu nyingi gari la Fire aliwezi kufika kabisa
NYUMBA iliyo ungua maeneo ya Bonde la Mpunga Mikocheni, karibu kabisa na Myfare Plaza,wananchi walilitupia gari la fire mawe baada ya kufika kwenye eneo la tukio na kukuta tayari moto umezimwa na wananchi
Nyumba
iliyokuwa inaungua ilikuwa ya familia ya Mzee Hassan Magaza, iliyopo
mikocheni, mtaa wa bonde la mpunga ambapo anakaa pamoja na bintiyake
Reema Hasan Magaza na kijana wake Bakari Hasan Magaza. Moto ulianza
Majira ya jioni ila chanzo cha moto hakikujulikana kwakuwa nyumba
hiyo aina Umeme.
Polisi wa kituo cha Polisi Oyster Bay, wakichukua maelezo ya tukio hilo, miongoni mwa Polisi walikuwepo katika tukio hilo ni Inspector Filbert wa kituo hicho.
Picha zote kwa hisani ya
Sofia
EmoticonEmoticon