WAAJIRI WA ASWA NA JK
Rais Jakaya Kikwete amewahimiza waajiri nchini kutazama jinsi ya kuongeza ushindani wa kibiashara ili kuweza kujiongezea kipato katika biashara, Rais ameyasema hayo katika sherehe za kukabidhi tuzo kwa muajiri bora wa mwaka 2012, ambayo yalifanyika jijini Dar Es Salaam.
Rais amesema, Tanzania inamategemeo ya kuwa nchi ya kati ya ifikapo mwaka 2015, na kuongeza kuwa kiwango hicho akiwezi kuwa bila kuwepo ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi.
Aidha Rais amewataka waajiri hao kuwa na ushirikiano baina yao ili waweze kufikia malengo makubwa walio jiwekea. kwani hiyo ni pamoja na ushirikiano dhabii baina yua makupanuni na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na utafiti kwa maendeleo ya pamoja ya watanzania kwa ujumla
EmoticonEmoticon