Daladala mbili zimegongwa na Roli aina ya Lelyand Daf ambalo lilifeli breki hivyo kwenda kuparamia daladala hizo ambazo zilikuwa zinashusha abiria kwenye kituo cha njia panda itende jijini mbeya yaani barabara kuu iendayo Tunduma
Baadhi ya majeruhi wakipata matibabu katika hospitali ya rufaa mbeya |
Baadhi ya wananchi wakimiminika kwenda waona ndugu zao waliopata ajali |
http://mbeyayetu.blogspot.com/
EmoticonEmoticon