PICHA 6 ZA LULU AKIWEKA MASHADA KWENYE KABURI LA MAREHEMU KANUMBA JANA KATIKA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA


LULU KULIA  AKIWA NA MAMA YAKE MAREHEMU KANUMBA
 ***********************






Kaburi la Marehemu Steven Kanumba, ambaye alikuwa nguli wa filamu nchini. alifariki tarehe 7 April 2012

Hivi sasa msanii Lulu, anakabiliwa na kesi ya kuuwa bila kukusudia  msanii huyo ambaye alikuwa ni mpenzi wake.


EmoticonEmoticon