Akiongea
na waandishi wa habari ika matokeo hayohii leo jijini Dar es salaam Waziri wa
Elimu na Mfunzo ya ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa amesema matokeo hayo mapya yataleta
mwanga mzuri wa masomo kwa wanafunzi waliopata maksi za chini na kwamba
hakutakuwa na uchakachuaji katika zoezi hilo
“Hakuta
kuwa na uchakachuaji, Baraza la mitihani wanafanya kazi kitaalamu… wanafunzi
wawe na matumaini ya kuendelea mbele, hakuna anaye penda haya lengo la Serikali
nikutaka kuona sekta ya Elimu inasonga na kwa matokeo haya mapya mabadiliko
yatakuwepo” alisema Mhe. Kawambwa
Kama
ambavyo kamati iliyoundwa kuchunguza matokeo haya na mapendekezo yake imeshauri
juu ya kurudia mfumo wa zamani na kutoa nafasi kwa wadau wa elimu kufanya
mchakato wa kutoa elimu na maandlizi juu ya mfumo huu mpya itatekelezwa. Alisema
Mhe. Kawambwa
Aidha,
Wizara ya Elimu imepokea Pound Millioni 60 sawa na Shilingi Billioni 152,
Millioni 309 na Laki 400000 ilikukuza ubora wa Elimu katika somo la Kingereza
katika shule za Sekondari na za msingi
Kiasi
hicho cha pesa kimetolewa na British Council na kitanufaisha Vyuo 34 vya
Ualimu, Wakufunzi wa vyuo Laki na zaidi pamoja na wanafunzi wa shule za Msingi
na Sekondari nchini
EmoticonEmoticon