Mtihani wa kidato cha sita (FORM SIX - ACSEE) umeanza leo nchi nzima. ratiba hapo juu nitaree yakuanza mtihani huo na taree ya kumalika kwa mtihanio huo kama ambavyo imetolewa na Baraza la Mitihani nchini "The National Examination Council"
Blog hii inawatakiwa mtihani mwema wanafunzi wote wakidato cha sita, zaidi kwa Mdogo wangu kipenzi Charles David Nyamanga wa Songea Boys akichukua kombi ya PCM....SkOnGa aaaaa
UPADETES
WANAFUNZI ELFU 52,612 WAFANYA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA
JUMLA ya wanafunzi 52,612 Elfu Wanafanya mtihani wakidato cha sita kote nchini kwa Tanzania Bara na Visiwani, Hafisa habari na mawasiliano wa Baraza la mitihani Bwana John Nchimbi ameiambia blog hii na kuwahasa wanfunzi hao wasifanye udanganyifu katika mitihani yao kwani vyote vilivyo tungwa kwenye mitihani hiyo nivilevile ambavyo wamesoma hapo awali
" wanafunzi elfu 52,612 wamefanya mitihani hiyo kote nchini, na hatujapata tarifa yoyote ya ambayo inaweza kuwa tofauti na ratiba yetu zaidi nawasihi wanafunzi wasifanye udanganyifu katika mitihani" Alisema Bwana Nchimbi

EmoticonEmoticon