SERIKALI IMESEMA JESHI
LA POLISI LINAUPUNGUFU WA ASKARI 48,011 JAMBO
MBALO LIMESABABISHA KILA ASKARI MMOJA KULINDA
WATU 1,156 AMBAPO KATIKA UWIANO WA KITAIFA INAPSWA ASKARI MMOJA
KUWALINDA
WANANCHI 400 HADI 500.
HAYO
YAAMESEMWA BUNGENI NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA
NDANI YA NCHI MH PIERE SILIMA WAKATI AKIJIBU SWALI
LA MH HUSSEIN MUSAA MZEE
AMLIYEATAAKA KUJUA ASKARI POLISI MMOJA HAPA NCHINI ANALINDA WANANCHI
WANGAPI.
MH
SILIMA AMESEMAA SERIKALI IMEKUWA IKIFANYA JUHUDU ZA
MAKUSUDI KUZIBA PENGO HILO KWA
KUAJIRI ASKARI WENGINE LENGO LIKIWA
NI KULIJENGEA UWEZO JESHI HILO
KATIKA ENEO LA RASILIMALI WATU.
MATHALANI IDADIYA ASKARI IMEONGEZEKA
KUTOKA
28,000 MWAKA 2006 HADI 38,000 MWAKA 2012 NA KWA HIVI SASA ZAIDI
YA ASKARI 3000 WANAPATIWA MAFUNZO KATIKA CHUO CHA
TAALUMA YA POLISI MOSHI.
EmoticonEmoticon