HASASI za kiraia zinazo tetea haki za binadamu nchini Kenya, zimewakilisha pingamizi jingine kuwazuia Willium Ruto na Uhuru Kenyata ambao ni washukiwa wa mauaji katika mahakama ya ICC watakaogombea urais wan chi hiyo, kuwa wakishinda hawata kubali waingie ofisini nakufanya kazi za kiserikali
Habari zilizoandikwa na vyombo vya habari nchini Humo zinasema, Hasasi hizo zimetoa mapingamizi yao,
kwa mara nyingine baada ya Mahakama Kuu ya Kenya kushindwa kutoa uamuzi kama
wawili hao wanaruhusiwa kugombea nafasi ya uraisi ama laa, hali inayo wapa
nafasi kubwa wagombea hao kitukinacho pingwa vikali na hasasi hizo
Kushoto ni Uhuru Kenyata, kulia ni Willium Ruto |
Hasasi hizo zinazojulikana kama The
Kenya Human Right Commission (KHRC), na Kenyans For Peace with Trueth and
Justice (KPTJ) wamepinga uamuzi wa mahakama kwakile walicho daia inaongoza
kinyume na maslahi ya jamii
Uhuru Kenyata na Willium Ruto,ambao
niwagombea katika wa uraisi katika uchaguzi mkuu wan chi hiyo ambao unatarajiwa
kufanyika wikimbili zijazo tarehe 4. 3. 2013, huku wakiwa wanatuhumiwa katika
mahakama ya uhalifu ya ICC kwa kuhusika na gasia zilizoshuhudiwa baada ya
uchaguzi mkuu wa mwaka 2007
EmoticonEmoticon