> JE MHESHIMIWA MBATIA ATAJIUZULU IKIWASILISHWA
> KAMATI IKIBAINI MADUDU NANI ATAWAJIBISHWA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi
Mhe. Shukuru Kawambwa leo Bungeni amewasilisha mitaala kwa elimu ya
Msingi na Sekondari wa mwaka 2005 kama ambavyo iliahidiwa na Serikali
kupitia kwa Mhe.Wiliam Lukuvi ambaye ni Waziri wa Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, kuwa Mitaala hiyo ingewasilishwa kabla
ya Bunge kumalizika hapo tarehe 8 mwezi huu
Baada ya Waziri wa Elimu kuwasilisha
mbele ya Bunge Mitaala hiyo Naibu Spika Job Ndugai ameunda kamati
yakuchunguza mitaala hiyo kama imechakachuliwa au aina mapungufu
yoyote
Kuundwa kwa kamati hiyo kumetokana na
maoni ya wabunge waupinzani kusema kuwa huenda ikachakachuliwa kwa
haraka ilikuwafumba watanzania.
" Siku yakuwasilishwa kwa hoja hii kulikuwa na wasiwasi kuwa hata Mitaala ikiwasilishwa hapa haitakuwa halisi na halali nahii ndio sababu ya kuteua kamati ya baadhi ya Wabunge ilikufanya ukaguzi juu yamadai hayo" alisema Naibu Spika
Miongoni mwa wabunge 5 waliochaguliwa na mheshimiwa James Mbatia alikuwemo na baadhi ya viongozi wa serikali, ambao ni Mhe. Magreth Sitta, Mhe. Benadetha.

Aidha, Mhe. James Mbatia aliwasilisha
hoja binafsi kuusu udhaifu uliopo kwenye Sekata ya Elimu nchini huku
akitaka ufafanuzi wa Mitaala ya kufundishia kwa elimu ya Msingi na
Sekondari ambayo alidai haipo
Akiongea Bungeni Siku yatarehe 31. Feb.
2013, Mheshimiwa Mbatia alilalamika sana juu ya mitaala na kuelezea
Uongo wa Waziri Wa Elimu aliye ahidi kuwasilisha mitaala hiyo kwa
wabunge katika kikao kilichopita lakini hakufanya hivyo
James Mbatia pia alilalamikia makosa
yaliyopo juu ya kitabu cha elimu ya Sekondary kwa kidato cha nne na
cha sita, somo la hisabati na kusema nimakosa makubwa yote hayo
ikiwandani ua hojayake ya Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu nchini
*********************************
Je mitaala hiyo ikibainika kuwa na madudu ndani yake nani atawajibishwa ikiwa sababu za kutopewa Mitaala hiyo kwa wabunge pia aijatolewa na je mhe. Mbatia atajiuzulu kama alivyo sema wakati akiwasilisha hoja yake
EmoticonEmoticon