Mgombea
Urais kwa tiketi ya chama cha Jubilee bwana Uhuru Kenyatta anaye
kabiliwa na mashitaka katika mahaka ya kimataifa ya ICC ametanhaza
kesi yake haitafika popote na huenda ikafutiliwa mbali
Bwana
Kenyatta amesema hayo baada ya mshtakiwa mwenzake katika kesi hiyo
bwana Francis Mudhaura kueleza kuwa kesi inayo mkabili huenda
ikatupiliwa mbali kwa kukosekana kwa ushahidi baada ya kesi hiyo
kupigwa kalenda, kitu ambacho Kenyatta anaamini kwake pia itakuwa
vivyo hivyo
"If
Muthaura's case is collapsing, is that not an indication even
mine will go nowhere? Alisema Bwana Kenyatta
Hatahivyo,
Kauli ya Mwendesha mashtaka ya mahakama ya ICC aliosogeza mbele siku
ya kusikilizwa kwa kesi hiyo kwa sababu alizo elezea kuwa ni NANUKUU
“On Tuesday, Ms Bensouda said the April 10 trial start date
could be pushed to August due to lack of courtrooms at The Hague and
safety of witnesses.”
“An August 2013 start date would therefore provide the defence with several months after receiving the delayed disclosure witnesses’ identities and unredacted materials to review those materials and conduct the associated preparations before trial begins,” she said.
Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza Willium Ruto wanakabiliwa na mashtaka katika mahakama ya kimataifa ya ICC wakihusishwa na mahafuko ya baada ya uchaguzi yaliyotokea nchini Kenya mwaka 2007 ambapo watu zaidi ya Elfu moja walifariki Dunia huku wengine wakikimbia makazi yao.
Kampeni
zikiwa zinaendelea miongoni mwa wagombea wa urais nchini Kenya,
wapiga kura wa nchi hiyo watamchagua mgombea wamtakaye siku ya
Jumatatu March 4th ikiwa imebaki siku 4 tu uchaguzi huo
kufanyika
EmoticonEmoticon