Kulia ni Raila Odinga, kushoto ni Uhuru Kenyatta |
Habari
zilizotolewa kwenye mtandao wa Daily Nation wa Nchini Kenya masaa
machache yaliyopita yanaonyesha kuwa Uhuru Kenyatta amepata
kuranyingi hadi hivi sasa kuliko mpinzani wake mkubwa bwana Raila
Odinga
Kura
hizo zinazopigwa kupitia mtandao na taasisi ya utafiti ya SYNOVATE
nchini kenya zinaonyesha kuwa mgombea huyo bwana Uhuru anaongoza kwa
muda mchache sasa, tofauti na siku ya jana ambapo na siku zingine
Raila Odinga alikuwa anaongoza kwa kura nyingi sana
kura
zinaonyesha Uhuru Kenyatta akiwa na kura ya asilimia 44.8 huku Raila
odinga akiwa na kura 44.4 ikiwa amemshinda kwa point 4 tu wakifuatiwa
na wagombea wengine
“NEW
SYNOVATE poll shows Uhuru Kenyatta's ratings at 44.8%, higher than
Raila Odinga's 44.4%. Mudavadi 5.2%, Kenneth 1.6%, Karua 0.8%.”
kama ilivyo andikwa na taasisi hiyo ya utafiti
Liku
chache zilizo pita bwana uhuru alitangaza kujitoa kwenye mdahalo
wawagombea urais kenya kakile alichodai kuwa niupendeleo wawazi
uliofanywa na waandishi wa habari walifanya nao mahojiano katika siku
ya kwanza ya ya Feb. 11, ambapo swala la ukabila na kesi ya ICC
inayomkabili Bwana Uhuru zilipewa nafasi kubwa.
Mdahalo
mwingine unatarajiwa kufanyika tarehe 25.Feb.2013 ambapo kutakuwepo
na wagombea 7 tu. Uhuru kenyatta nimiongoni mwa wakenya wanne
wanaokabiliwa na kesi katika mahakama ya kivita ya ICC.
EmoticonEmoticon