PICHA TANO ZA RAISI JK, AKIGAWA VITAMBULISHO VYA KWANZA VYA TAIFA

KATIKA uvinduzi wa utoaji vitambulisho vya Taifa, Raisi wajamuhuri ya Muungano wa Tanzania akigawa vitambulisho hapo jana jijini Dar es salaam kwa baadhi ya viongozi wa kitaifa nawale walio staafu. baadae zoezi litaendelea nchi nzima

Kushoto ni Rais mstaafu Mhe. Mwinyi akipokea kitambulisho kutoka kwa Rais Kikwete
Kushoto ni Rais Mstaafu Mhe. Mkapa akipokea kitambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete
Kurugenzi Mkuu wamakampuni ya IPP Dr.Reginald Mengi akipokea cheti kutoka kwa Rais Kikwete
Kulia ni Director General Willium Urio (PPF) akipokea kitambulisho kwa Rais Jakaya Kiwete
Shekh wamkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum, akipokea kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete

Bishop Dr. Alex Malasusa akipokea kitambulisho kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete





Siku ya Jana serikali iligawa vitambulisho vya taifa kwa viongozi wa andamizi wa Serikali waliostaafu na walio madarakani ikiwa ni mwanzo wa kutolewa kwa vitambulisho hivyo kwa wananchi wote


EmoticonEmoticon