Binti mmoja amemlalamikia Polisi wakituo cha
Oysterbay Jijini Dar es salaam kwa madai ya kumfanyia kitendo cha unyanyaswaji wa
kijinsia baada kufika kituoni hapo kupata msaada wa
kiusalama juzi Jioni, Binti huyo ambaye alikuwa anaumwa baada ya
kuingiliwa kinyume na maumbile alifanyiwa kitendo hicho kwamara
nyingine na Polisi wakituo hicho
Blog hii inafuatilia zaidi
kujua kama nipolisi ndiye aliye fanya kitendo hicho au mazingira
yenye ukweli na tukio hilo, kwani binti huyo alienda kama muitaji
msaada nasi mtuhumiwa wakosa lolote,
Akiongea na Blog hii dada
huyo ambaye anaitwa Sara Julius Kimario alielezea kuwa tukio la kugeuzwa kinyume na maumbile na Polisi huyo, lililomkuta baada ya kutoroka kwa mama ambaye alikuwa
akimtumikisha kwa shuguli za Ngono katika danguro moja huko
Mwananyamala Sokoni,
Binti huyo alidai kuwa Polisi huyo alimuahidi ange mnunulia chakula na kumtafutia mahali pakulala lakini haikuwa hivyo bali alimtendea unyama huo na kuondoka zake bila kumpa msaada wowote, binafsi aliamini angeweza kumsaidia kwani alikuwa akiumwa na ananjaa sana
Binti huyo alidai kuwa Polisi huyo alimuahidi ange mnunulia chakula na kumtafutia mahali pakulala lakini haikuwa hivyo bali alimtendea unyama huo na kuondoka zake bila kumpa msaada wowote, binafsi aliamini angeweza kumsaidia kwani alikuwa akiumwa na ananjaa sana
“ Nilikuwa na kaa
mwananyamala sokoni ambapo nilikuwa najishugulisha nabiashara za
ngono lakini skuwahi kutumika kinyume na maumbile mpaka majuzi hapa
nilipo patwa na maumivu makali baada ya kuingiliwa kwanguvu nakupata
maumivu ikabidi nitoroke ilikuweza kupata matibabu” Alisema Sara
huku alikilia
Sara alifika kituo cha
polisi Oyster-bay tarehe 13. Feb. kwaniaya kupata usalama na mahali
pakulala kwani alikuwa akilala kituo cha basi Ubungo bila kupata
matibabu yoyote
' Niliwahi kwenda kituo
cha polisi Kinondoni ambapo nilipewa Arabii ilikuwa tarehe 7 hakuweza
kusema niyamwezi wangapi.....ambapo nilienda hospitali ya
Mwananyamala nakupata matibabu ambapo nilishonwa lakini sikuwa
nimepona kwajinsi nilivyo umia” Alisema Sara
Hapo awali sara alikuwa
akiishi Mwananyamala sokoni ambapo amesema walikuwa kwenye danguro
wakifanya biashara ya ngono kwa muda wa miaka 14 sasa, nikwa mama
mmoja ambaye anajishugulisha na biashara ya madini na kwa muda huo
wote hawakuruhusiwa kutoka nje kabisa
“ Huyu mama
anajishugulisha na biashara ya madini (Jina kapuni) na alinitoa kwetu
kwania yakufanya kazi zandani lakini baada yakufika huku kazi
ilibadilika nakuanza kufanya biashara hiyo” alisema
Sara amesema ndani ya
Danguro hilo kwa gorofa yajuu wako mabinti 10 lakini gorofa yachini
ajui niidadi ya wasichana wangapi wanakaa, pia jengo hilo linalindwa
na walinzi wawili na huwa hawatoki zaidi yakuenda kibara zani.
Alisema
POLISI AKANA
Kwakutaka ufafanuzi wa
tukio hilo, Nilimpigia OCD Mtafungwa wakituo cha Oyster-bay ilikujua
juu yatukio hilo. Ocd alionyesha kutojua tukio hilo nakusema kuwa
hana taarifa za mtu kama huyo huku akihaidi kufanya uchunguzi watukio
hilo
“ Sifahamu kuusu tukio
hilo na kwa sasa siko ofisini, lakini nitalishugulikia na kusu swala
la huyo binti kufika kituoni sina taarifa za kiofisi kujua kama
niyeye unaye mtaja kwa jina ...nipigie baada ya muda nitakuwa
ofisini” Alijibu OCD Mtafungwa wa Oyster-bay
Alizidi kueleza, kuna
binti ambaye yuko pake kituo anatatizo kama hilo ila sina uhakika
kama ndiye unaye mzungumzia, kwakuwa nitaenda ofisini nitakupa
taarifa zaidi Alisema
Hatahivyo, Taarifa kutoka
kwa mtu wandani wa Jeshi hilo ambaye nitahifadhi jina lake,
alinielezea kuwa OCD wakituo hicho alikuwa natarifa za binti huyo
pamoja na tukio alilotendewa kwani baada ya kuharifiwa juu yatukio
hilo aliomba binti huyo apelekwe kituoni hapo
“Huyo binti tumemrudisha
kituo cha Oyster-bay, nakuna taarifa zake za awali nahata danguro
hilo alilokuwa akikaa taarifa zake tayari zilishalifikia Polisi
wakituo hicho muda mrefu, wanafuatilia” kilisema chanzo hicho
Jeshi la Polisi linadawati
lakushugulikia matatizo ya kijinsia ambapo Blog hii ilimtafuta mmoja
wapo kutoka kituo cha Polisi Kurasini ambaye sitataja jinalake na
alikiri kutokea kwa tukio hilo huku akisisitiza hata kama nipolisi
hayupo juu ya sheria nakuahidi kulishugulikia tatizo hilo
Kisheria kama wewe ni
mtuhuiwa au sio mtuhumiwa unapofika au kufikishwa mikononi mwa Polisi
jukumu la usalama wako kwao nilakwanza nasio wao kukudhuru wewe kama
ambavyo Sara alivyo fanyiwa unyanyasaji wa kijinsia
Hatahivyo sara alisisitisa
zaidi juu yakupata nauli nakurudi kwao, Licha ya maumivu makali
anayopata hivi sasa. Sara yuko kituo cha Polisi Oyster-bay.
Bahari zaidi utaletewa hapa hapa, kwa sasa naifadhi picha ya binti huyo
EmoticonEmoticon