Mitaala
ya Elimu yamliza James Mbatia Bungeni, avua Uanasiasa avaa Uzalendo “
this is above Political level”asema kwa uchungu huku akiomba busara
na huruma zitumike kuokoa elimu ya Tanzania
Kaulizake
za mgombanisha na Naibu Spika. Kisa anataka kuchukua mamalaka ya
Spika, asisitiza kuwa kama mitaala mipya ikiletwa Bungeni yeye
atajiuzulu
Aibua
uozo juu ya Kitabu cha Mitaala ya Helimu ya Secondari kidato cha nne
hadi cha Sita cha Hisabati jinsi kilivyo kosewa...azidi kuomba sana
Viongozi wajali watanzania wengi ambao ndio wanasoma shule za
Serikali
********************
Naibu
Spika Naye akingia kifua Wizara ya Elimu, atumia Vifungu vya kanuni
vya Bunge kukataa hoja hiyo kujadiliwa, adai kuwa James Mbatia
anataka kuvaa madaraka yake kisa vifungu vya kanuni alivyo soma
Mbatia.
Wiliam
Lukuzi yeye ampa tiketi ya kujiuzulu baada ya kuahidi kuwasilisha
mitaala mipya kabla ya Bunge kimalizika taree 8 February kama
Serikali ilivyo ahidi
*********************
Wabunge
waamka kumsaidia James Mbatia, wengi wasusia vikao na kutoka nje ya
Bunge bila utaratibu maalum
Story
ni
James
Mbatia ambaye ni Mwenye kiti wa Chama cha NCCR mageuzi jana
aliwasilisha Bungeni hoja Binafsi ya kujadili juu ya Udhaifu uliopo
katika Sekta ya Elimu nchini, hoja ambayo imetupiliwa mbali na Naibu
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndungai nakupelekea Wabunge wote wa Upinzani
kukasirika na Kutoka Nje ya Bunge huku wakiacha kikao kikiendelea
EmoticonEmoticon