Raisi
ajaye wa Kenya atakuwa akilipwa shillingi Million 1.3 za kikenyaa,ambayo nisawa
na takriban Million 22.1 za kitanzania kama mshahara na malupulupu yake.
Hayo
ni mapendekezo yaliyotolewa leo na Tume ya Mishara na malulupu ya Kenya ambayo
pamoja na mshahara wa Raisi imependekeza mishahara ya ofisi mbalimbali za Serikali
hiyo
Katika
mapendekezo hayo kiwango cha juu ambacho Rais anaweza kulipwa hakitakiwi kuzidi
Million 1.75 za Kikenya sawa na shilingi Million 29.75 za kitanzania
makamu
wa Raisi atalipwa kati ya Milion 19.55 na Milion 25.16 za KitanzaniaSpika wa Bunge
la Kenya atalipwa kati ya Milioni 17.85 na Milion 23.8 za kitanzaniaJaji mkuu
atasimamia kwenye kati ya Million 17.51 na Million 23.46 za kitanzania
Katibu
wa baraza la mawaziri atalipwa Millioni 19.04 za kitanzania wakati Gavana
atalipwa kima cha juu cha shillingi Million 18
Tume
hiyo imeendelea kupendekeza kwa wabunge pia, inataka wabunge walipwe kima cha
juu cha shillingi Million 12.6 za kitanzania
sawa seneta
Tume
hii itaanza kukusanya maoni ya wananchi kuhusiana na mishahara hii kuanzia
nchini humo
Nchi ya Kenya itafanya uchaguzi mkuu mwaka huu mwezi wa tatu wa kumchagua Raisi na viongozi wengine wakitaifa
EmoticonEmoticon