BUNGE LIMEAHIRISHWA HIVI SASA BAADA YA WABUNGE WA UPINZANI
KUSIMAMA NA KUPIGA MAKOFI HUKU WAKIIMBA CCM..CCM..CMM KITENDO KILICHO POTEZA
USIKIVU NA KUMFANYA NAIBU SPIKA JOB NDUGAI KUAHIRISHA KIKAO HICHO MPAKA HAPO
KESHO
HOJA YA NDIYO ILIKUWA IKIENDELEA MPAKA BUNGE LINASITISHWA
HABARI ZA BUNGENI KIKAO CHA ASUBUHI LEO
SERIKALI imetoa sababu za kuwepo kwa mugawanyo katika ngazi
ya shule hapa nchini na kueleza kuwa sio matabaka kama inavyodhaniwa kama vile
shule za vipaji maalum na za kawaida pamoja na zile za kimataifa, Akiongea leo Bungeni wakati akijibu swali la Mhe.i
Nyangwine ambaye alitaka kujua uwepo wa matabaka hayo
Naibu waziri Wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philip
Mulugo alijibu kwa kusema kuwa, hali hiyo siomatabaka bali ni kuboresha Elimu
ya Tanzania nakuwa na shule yenye rekodi nzuri katika elimu yetu kwa kufanya
hivyo Tunakuwa nashule ambayo nimfano mzuri na wenye ufaulu wakiwango cha juu
“ Tunapo wakutanisha wanafunzi wenye vipaji kutoka shule mbalimbali
lengo ni kutumia vipaji vyao kuvumbua vitu mbalimbali mfanoo vya kisayansi
ikiwapamoja na kuwaendeleza kwaufaulu wajuu” Alisema Naibu huyo
Aidha akiongelea juu ya shule za kimataifa amesema, shule
hizo zinapewa hadhi ya Kimataifa kulingana na mazingira yake, walimu wengi
hutoka nje ya nchi silabasi yao nitofauti na zile za hapa nchini nakuwa
zinagaguliwa chini ya kiwango cha ECIS na AISA mbavyo vivya kimataifa.
HOJA YA JAMES KIGWANGALA YAGEUZA BUNGE UWANJA WA NGONJERA NA
MIPASHO
Hoja iliyowasilishwa Siku ya Ijumaa na Mhe. James Kigwangala
juu ya kutaka Serikali ianzishe mpango
maalum wa kukuza Ajira kwa vijara kwa kuanzisha mfuko wa mikopo ya vijana
waliowekeza kwenye elimu Kilimo na viwanda vyenye uhusiano wa moja kwa moja na
kilimo.
Wakichangia Bungeni leo Mheshimiwa James Kingwangala na Mhe.
Tundu Lisu wametupia na maneno ya kashfa na kupondeana wakati wakujadili hoja
hiyo
“ Tundu Lisu nikigeugeu hojazake azieleweki alisikika
akisema Kigwangala kasha mzozo huo ukiingiliwa na Naibu Spika Job Ngugai na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Fredrick Werema wakimtaka kuomba radhi juu ya
kauli zake. Naye Tundu Lisu akiomba mwongovo wa Spika” yalijiri Bungeni wakati
wakujadili hoja hiyo
Hatahivyo hoja hiyo ilipitishwa kwa kura za ndio kutoka
miongoni mwa wabunge
JOHN MNYIKA ZIDI KULIA NA MAJI
Mheshimiwa John Mnyika Mbunge wa Ubungo leo amewasilisha Bungeni Hoja ya Maadhizio ya hatua za haraka za kuboresha upatikanaji wa maji taka katika jijila Dar es salaam, hoja hiyo iliyo[okewa kwa Mbinde na itaendele
EmoticonEmoticon