TUZO ZA CTI KUTOLEWA LEO,JK MGENI RASMI


Raisi Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika Tuzo zitakazo tolewa leo jijini Dar Es Salaam, na shirikisho la Wenye Viwanda Nchini(CTI, kwa lengo la kuwapa motisha wazalishaji waliofanya vizuri na kukidhi vigevo kwa mwaka 2012


CTI imeamua kutoa Tuzo hizo baada ya kuona umuimu wa viwanda kwa ngazi zote hapa nchini na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, ikiwa pamoja na kuwapa moyo wenye viwanda ili wazidi kufanya ufanisi katika kazi zao

Aidha Tuzo hizo zinawalenga wenye viwanda wakubwa, wa kati na wadogo na kazi ya kutafuta washindi ilifanywa na kampuni binafsi ambayo haina uhusiano na CTI.

Hataivyo kampuni ya IPP imetoa Sh. milioni 50 kwa ajili ya kudhamini utoaji tuzo mwaka huu na ni mara ya kwanza mdhamini kutoka ndani ya wanachama wa CTI.


EmoticonEmoticon