R.I.P AMINA SINGO
HUYU HAPA MAREHEM AMINA SINGO,Aliyekuwa
mtangazaji wa kituo cha utangazaji cha TIMES FM ambaye amefariki dunia mwishoni mwa wiki, katika Hospitali ya Hindu Mandal.
Marehemu Amina alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji na upungufu wa damu. Amina alikuwa akitangaza kipindi cha Afro vibes katika Radio Times FM
Natoa pole kwa ndugu Familia,Jamaa na Marafiki pamoja na wanahabari wote kwa kumpoteza mmoja wetu
EmoticonEmoticon