KENYA YA SHEHEREKEA JAMUHURI DAY
Rais Mwai Kibaki leo amewaongoza
wananchi wa Kenya katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri ya nchi
hiyo, ikiwa ni miaka 49 tangu nchi hiyo kupokea uhuru wake kutoka
mikononi mwa Wakoloni
Hii itakuwa ni shereehe ya mwisho chini
ya utawala wa kikatiba wa nchihiyo, kwa rais Mwai Kibaki kushiriki
sherehe za kiserikali. Ikiwa umebaki muda mfupi kwa rais huyo
kumaliza muda wake.
Kenya ilipata uhuru wake taree 12 ya
mwezi wa 12 Mwaka 1963 kutoka kwa Mwingereza, mpaka hivi sasa nchi
hiyo ina miaka 49 tangu kupata uhuru huo
Kutokana na Sherehe hizo Wananchi wa
Kenya wameaswa kuendeleza amani na eshima ya nchi yao, kutunza
usalama wa nchi pamoja na kuinua uchumu wa nchi yao.
Hatahivyo, kume kuwa na kampeni
zinazoendelea nchini humo ambapo uchaguzi mkuu utafanyika March 2013.
EmoticonEmoticon