WAKENYA MILLIONI 8 TU WAJIANDIKISHA KUPIGA KURA KATI YA WATU MILLIONI 18 NCHINI HUMO

Ikiwa imebaki siku moja tu ili kujiandikisha kwenye kitabu cha Wapiga kura nchini Kenya,  ni watu Million 8.6 tu ndio wamejiandikisha kati ya watu Millioni 18, nchini humo hadi hivi sasa.

 

Kesho tarehe 18.12.2012,  ndio itakuwa siku ya mwisho kwa wapiga kura kujiandikisha katika kitabu cha Wapiga kura wa Uchaguzi Mkuu nchini humo,utakao fanyika March 4,2013 chini ya katiba mpya ambayo iliundwa 2010.

 

 HATAHIVYO, tarifa zinasema kuwa

Synovate: Odinga still the most preferred presidential candidate

 

Tasisi inayojishugulisha na tafiti mbalimbali ya Synovate,imetoa ripoti yake juu ya wagombea wa Urais nchini Kenya ambayo inamuweka Raila Odinga kwenye nafasi ya juu dhidi ya wagombea wenzake.

Utafiti unaonyesha, Raila ana asilimia 33% ya wapiga kura wanao muunga mkono, tangu kutolewa kwa Ripoti hiyo akuna ripoti nyingine inayoelezea nikiongozi yupi anaungwa mkono zaidi.


EmoticonEmoticon