JK amkumbuka Bi.Kidude, amtunukia nishani

Raisi Jakaya Mrisho Kiwete, jana amewatunukiwa Nishani baadhi ya Watanzania kwa mchango wao mablimbali wa kujenga Taifa, katika maadhimisho ya sikukuu ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika Akiwemo Msanii Mkongwe zaidi Duniani Bi. KIDUDE. Bi Kidude ametunukiwa Nishani ya Sanaa na Michezo kwa mchango wa kipekee kwa Taifa letu katika nyanja ya sanaa.

 Fatma Binti Baraka Khamis (Bi. Kidude), alianza sanaa ya Muziki tangu mwaka miaka ya 80, akiimba muziki wenye miondoko ya mwambao maarufu kama Taarabu Hasilia,


EmoticonEmoticon