JK AZINDUA MAJENGO YA HOSPITALI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani Dr Jakaya Mrisho kikwete hii
leo amezindua majengo mapya ya hospitali, maalum kwa ajili ya Huduma
za akina mama na watoto katika Hospitali za Sinza, Mnazi mmoja na
Mbagala rangi tatu jijini DSM yaliyojengwa kwa msaada wa shirika la
kimataifa la Korea (KOICA).
Raisi Jakaya ameelezea kuwa,Nia na madhumuni ni Kupunguza matatizo ya Uzazi kwa kina mama wajawazito ikiwa pamoja na kupunguza vifo vya watoto walio chini ya miaka 5
Raisi Jakaya ameelezea kuwa,Nia na madhumuni ni Kupunguza matatizo ya Uzazi kwa kina mama wajawazito ikiwa pamoja na kupunguza vifo vya watoto walio chini ya miaka 5
Mbali
na shughuli hiyo, Rais hii leo pia amekabidhi nyumba zilizojengwa kwa
ajili ya wahanga wa mabomu ya Gongo la mboto, shughuli iliyofanyika
maeneo ya Gongo la mboto jijini DSM na hapo kesho anatarajia kukwea
pipa kuelekea Korea kwa ajili ya ziara ya kikazi.
EmoticonEmoticon