MAGUFULI NA KAMPENI ZA KENYA, ATUA NAIROBI KUMUUNGA MKONO RAILA KUELEKEA UCHAGUZI KUU WA NCHINI HUMO

Waziri wa Miundombinu Mhe. John Pombe Magufuli leo yuko Nchini Kenya ambapo amehudhuria kampeni za uchaguzi zinazo endelea jijini Nairobi, Akiwa anatoa sapoti kwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Mhe. Raila Odinga anaye gombe nafasi ya Urais

Raila Odinga ambaye ameungana na mwana siasa maarufu Kalonzo Musioka nakuanzisha chama chama cha OrangeNDC, ilikukabiliana na Wahasimu wao Uhuru Kenyata naWilium Ruto ambao nao wameungana, uchaguzi Mkuu wa Kenya unatabiriwa kuwa na Upinzani mkubwa kutokana na mabadiliko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo

Aidha, Uchaguzi utafanyika ifikapo March mwakani. huku kukiwa na kesi kwa baadhi ya Viongozi ambao wanagombea nafasi ya Urais, katika mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC .         

 baadhi ya Tweets za leo za Viongozi hao




Kama unavyo onekana ni tweet za viongozi hao, pia Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai ameudhuria kampeni hizo

updates. 

Magufuli asema, Raila anahofu ya Mungu na anafaa kuiongoza Kenya nakuweka msisitizo wa wananchi wa nchi hiyo kumpigia kura kiongozi huyo


EmoticonEmoticon