WAZIRI AIBUKIA WAZO, KISA MGOGORO WA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Profesa Anna Tibaijuka amewatembelea wakazi wa Wazohill na Bunju kwa lengo la
kuwasikiliza kuhusu kero yao ya muda mrefu ya kugombania ardhi na kiwanda cha
saruji cha Twiga(Twiga Cement)
Akizungumza na
wananchi katika eneo hilo Prof Tibaijuka alisemazote mbili ilikupata maamuzi
sahii yasiyo pendelea upande wowote, na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano
pindi uchunguzi utapokuwa unaendelea wa nini kifanyike juu ya mgogoro
huo.Alisema Tibaijuka
Naye Diwani wa kata ya Bunju. Majisafi Sharifu,
alisema kero hiyo ya ardhi niya muda mrefu, na kusisitiza kuwepo kwa suluhu ya
kudumu, na kuwepo kwa ukweli wa swala hilo ili wananchi waendelee na shuguli za
uzalishaji
Wananchi wa eneo hilo waliomba kuwepo kwa uwazi
na ukweli katika uchunguzi utakaofanyika juu ya mgogoro huo. Na kuitaka serikali kuacha
kujali maslahi ya watu wachache na kujali maslahi ya wananchi ambao nikundi
kubwa.
EmoticonEmoticon