MUONEKANO WA MADARAJA MATATU KATIKA BARABARA YA MWENGE-TEGETA
Madaraja matatu ambayo yanajengwa
katika barabara ya New Bagamoyo Road
kuanzia Mwenge hadi Tegeta Kibaoni
yamefikia hatua nzuri hadi hivi sasa.
|
Daraja la Tegeta |
Maadaraja hayo ni ya maeneo ya Lugalo Jeshini,
Mbezi Bondeni pamoja na Tegeta
|
Daraja lililoko maeneo ya Mbezi Bondeni |
Barabara hiyo ya njia mbili, inajengwa
kwa kilometa 12.9, ujenzi wake unafanywa na
kampuni ya Konoike. Garama za ujenzi wa
barabara hiyo unafanywa na serikali ya Japan
na umegarimu kiasi cha shilingi Bilioni 88
|
Daraja la Lugalo karibu kabisa na Mwenge |
Ujenzi wa barabara hiyo ulianza April, 04 Mwaka
huu 2012, na unatarajiwa kumalizika
March mwaka 2013
|
Wananchi wa kiendelea na shuguli mbalimbali kando kando ya barabara hiyo |
EmoticonEmoticon