AMBASSADOR OF USA IN TANZANIA. ALFONSO E.LENHARDT |
Akikabidhi misaada hiyo, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Alfonso E. Lenhardt, amesema Fedha hizo ni seemu ya utekelezaji wa azma ya Nchi hiyo katika kushirikiana na nchi ya Tanzania ilikuleta maendeleo.
Kiasi hicho cha Fedha kitasaidia mashirika 11, yatakayo yanayo shugulika na Sekta za Elimu, Maendeleo ya Kiuchumi, Maji, Nishati ya umeme wa Jua ikiwa pamoja na mashirika ya wakimbizi nchini.
Vikundi hivyo viko kama ni Community Grants Program, Ambassador Special-Healp Fund, Taf, makundi ya kukabiliana na VVU/UKIMWI. Lengo kubwa ikiwa nikuboresha maisha ya jamii za kitanzania
Tayari nchi ya marekani imetoa msaada kwa vikundi 49 nchini Tanzania vinavyo jishigulisha na matatizo ya kijaamii
EmoticonEmoticon