Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mkutano wa 10, Limeanza leo Mkoani Dodoma, huku Watanzania
wengi wakikosa mkutano huo kutokana na Shirika la Utangazaji la TBC
kushindwa kurusha matangazo yanayoendelea kutokana na tatizo la
Mitambo
Muda mfupi baada ya muda rasmi wa Bunge
kuanza Shirika hilo lilitangaza na kuomba radhi kwakushindwa kurusha
matangazo hayo ya moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma
Mkutano wa Bunge unatarajiwa kufanyika
kwa wiki Mbili Mfululizo, ambapo maswala mbalimbali yanajadiliwa huku
wengi wakisuburi kujua juu ya swala la Gesi litakavyo kwenda miongoni
mwa viongozi wa Serikali.
EmoticonEmoticon