Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam imempatia dhamana msanii wa
Filamu Elizabeth Michael (Lulu) kwa masharti ya kupata wadhamini
wanaofanya kazi Serikalini wakiwa na Sh 20milioni kila mmoja,
Hivi sasa yupo katika maeneo ya Mahakama hiyo akisubiri kukamilisha taratibu ili aweze kurudi nyumbani kwake.Miongoni mwa masharti mengine ni pamoja na kutoruhusiwa kumtoka nje
ya Dar es salaam, na kwamba atawajibika kuripoti kila tarehe moja ya
mwenzi mahakamani hapo
EmoticonEmoticon