..... KWA TAARIFA ZILIZO SAMBAZWA NA ANTI NATASHA WA BONGO MOVIE AMBAYE ANASHUGULIKIKA NA MASWALA YA MSIBA NDANI YA TASNIA HIYO,
MSANII JUMA KILOWOKO MAARUFU KAMA SAJUKI AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KUTOKANA NA MARADHI YALIYO KUWA YAKIMSUMBUWA KWA MUDA MREFU SASA
PICHA YA SAJUKI ENZI ZA UHAI WAKE
EmoticonEmoticon