Mbunge
wa kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameitaka Shirika la Maendeleo ya
Mafuta Nchini (TPDC) kutoa tarifa yake ya kutotekeleza maamuzi ya
kamati ya Bunge, na kuwasilisha taarifa hiyo kabla ya vikao vya Bunge
kuanza,
Mhe.
Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Magaribi, Naibu Katibu Mkuu wa
chama cha Chadema, pamoja na Mwenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya
umma, amesema hayo leo jijini Dar es salaam katika vikao vya kamati
ya Bunge vinavyoendelea
Aidha,
TPDC ilitakiwa kutopeleka kiasi cha asilimia 50 ya fedha ambayo
zinapatikana kutoka kwenye makampuni ya mafuta TPDC ili zitumike
katika kuwaelimisha watanzania, kituambacho akikutekelezwa kama Bunge
lilivyo pitisha
“ 50%
ibaki TPDC iliitumike katika Iternal Training na mambo mengine nDadi
ya TPDC, 50% ianzishwe Trust Fund (Scholarship) ilikutumika kwa
kuwasomesha Watanzania, na kuongeza kuwa Wizarani fedha inatumika
kwenye semina na safari” Alisema Zitto
Zitto
alisisitiza juu ya kubakiza fedha kwa alisimia 50% ndani ya TPDC ili
shirika hilo liweze kujitosheleza, na kuongeza kuwa fedha zote
zinazopatikana kwenye Mafuta na Gesi iweze kuwasaidia watanzania.
Alisema Zitto
Hatahivyo,
imebainika kuwa TPDC ainauwezo wakukagua kampuni ya mafuta katiya 25
ambayo wanamkataba nao kwani TPDC ilifanikiwa kukagua kampuni moja tu
kati ya hizo.pamoja na kushindwa kukagua mikataba ya PSA.
EmoticonEmoticon