Picha kuonyesha kimbunga hicho (kaskazini-mashariki mwa Madagascar) |
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, inahu tahadharisha umma juu ya uwezekano wa matukio ya mvua kubwa ya zaidi ya Milimita 50 kuanzia tarehe 30 January mpaka February 01 mwaka huu.
Taarifa hiyo, inasema kutakuwepo na Kimbunga kinatojulikana kama ' FELLENG ', kaskazini-Mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo mbalimbali ikiwemo Tanzania
Aidha baadhi ya maeneo yatakayo adhirika ni Mkoa wa Rukwa, Iringa,Ruvuma, Mbeya, Mtwara, Njombe na Morogorona. Mvua itanyesha kwa saa 24 mfululizo kwa tarehe zilizo tajwa hapo juu
EmoticonEmoticon