SERIKALI YATAKIWA KUWAJALI WALEMAVU WA MACHO


Serikali yashauriwa kuweka mkazo wa elimu kwa watu wasioona katika siku ya maadhimisho ya watu wasioona Duniani, ambapo maadhimisho kitaifa yamefanyika leo katika mkoa wa Dar es salaam

Akiongea katika maadhimisho hayo, Mkurugenzi wa Taasisi ya watu wasioona Bwana. James Shimwenya amesema ni muhimu serikali kuweka mkazo wa elimu kwa watu wasioona iliwaweze kupata huduma zao za msingi kama ilivyo kwa watu wengine

Aidha Bwana. James amesema watu wasioona wanakabiliwa na changamoto mbalimbali wanapojifunza kusoma na muandika hivyo serikali inatakiwa inatakiwa kutatua matatizo yanayo wakabili


EmoticonEmoticon