SAJUKI AKIELEKEA KUZIKWA HIVI SASA, WASTARA NAYE ARUDISHWA NYUMBANI AKITOLEWA HOSPITALI ALIKO LAZWA BAADA YA PRESHA KUSHUKA



Mamia waongozana hivi sasa wakielekea makaburini kisutu kwa Ajili ya kumpumzisha marehemu Sajuki ambaye alifariki taree 2 Jan 2013 majira ya Alfajiri. tarifa za kuaminika kutoka kwa Sauda Wanguvu ambaye ni miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo.

Wakati hayo yakiendelea Mke wa Wasajuki Wastara Juma ametolewa Hosbitali aliko lazwa kwaajili ya matibau. Sajuki atazikwa masaa machache kuanzia sasa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam


EmoticonEmoticon