MSICHANA WA MIAKA 18, AUZA BIKRA YAKE


Msichana kutoka Brazil, Rebecca Bernado ameamua kuuza bikra yake kwa mwanaume yeyota iliaweze kupata hela ya kumtibu mama yake ambaye ni mgonjwa. Rebeka ambaye ni mwanafunzi ameamua kuuza bikra yake kuliko kujiuza kwa lengo la kupata fedha.
 



Rebeka anauza bikra yake kwa kiasi cha Dola $35.000 natayari Watu watatu wameonysha nia ya kununua Bikra hiyo. Rebeka mwenye miaka 18 ni mwanafunzi wa elimu ya Juu huko Brazil aliongea na kituo cha utangazaji cha CNN.


Mama yake ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa kupooza akuweza kubainisha mara moja kama anajua mpango huo wa Bint yake.

Hii simara ya kwanza kwa msichana kutoka Brazil kutangza kuuza Bikra yake, Mwaka jana binti wa miaka 20 Catarina Migilorini aliuza Bikra yake kwa kiasi cha dola $ 780.00 kutoka kwa mwanaume wa Japan. Lengo la Catarina ilikuwa ni kujenga Nyumba huku Rebecca yeye akitaka kumtibia mama yake ambaye ni mgonjwa.


EmoticonEmoticon