ZITTO KABWE ACHARUKA , ATOA AGIZO KALI KWA TPDC


Mbunge wa kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameitaka Shirika la Maendeleo ya Mafuta Nchini (TPDC) kutoa tarifa yake ya kutotekeleza maamuzi ya kamati ya Bunge, na kuwasilisha taarifa hiyo kabla ya vikao vya Bunge kuanza,

Mhe. Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Magaribi, Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Chadema, pamoja na Mwenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya umma, amesema hayo leo jijini Dar es salaam katika vikao vya kamati ya Bunge vinavyoendelea

Aidha, TPDC ilitakiwa kutopeleka kiasi cha asilimia 50 ya fedha ambayo zinapatikana kutoka kwenye makampuni ya mafuta TPDC ili zitumike katika kuwaelimisha watanzania, kituambacho akikutekelezwa kama Bunge lilivyo pitisha

50% ibaki TPDC iliitumike katika Iternal Training na mambo mengine nDadi ya TPDC, 50% ianzishwe Trust Fund (Scholarship) ilikutumika kwa kuwasomesha Watanzania, na kuongeza kuwa Wizarani fedha inatumika kwenye semina na safari” Alisema Zitto

Zitto alisisitiza juu ya kubakiza fedha kwa alisimia 50% ndani ya TPDC ili shirika hilo liweze kujitosheleza, na kuongeza kuwa fedha zote zinazopatikana kwenye Mafuta na Gesi iweze kuwasaidia watanzania. Alisema Zitto

Hatahivyo, imebainika kuwa TPDC ainauwezo wakukagua kampuni ya mafuta katiya 25 ambayo wanamkataba nao kwani TPDC ilifanikiwa kukagua kampuni moja tu kati ya hizo.pamoja na kushindwa kukagua mikataba ya PSA.


EmoticonEmoticon